Friday, March 28, 2014

JK WATAKAO VULUGA BUNGE LA KATIBA ITATUMIKA YA ZAMANI.TU

Baada ya vulugu kuwa nyingi bungeni mh Rais Jakaya kikwete amesema watakao sababisha bunge kufungwa itabidi katiba isiwepo kabisa baada ya kuona vulugu haziishi

Sunday, March 23, 2014

KHAMIS KIGWANGALA ANUSURIKA KUFA KWA RISASI.

Mbunge wa jimbo la nzega tabora amenusurika kufa kwa kukoswa na risasi iliyopigwa na polisi na kupiga mwingine kwenye paji la uso kutoka kwenye mtaandao wake

Friday, March 21, 2014

MBUNGE AANGUSHA CHOZI HADHALANI

Mbunge wa simanjiri mh GEMBE SUGU ameangusha choozi hadharani kisa kuona wabunge wengi wanaunga mkono suala la kura za siri kwenye katiba mpya.

Thursday, March 20, 2014

SERIKALI YA KATAZA KUTUMIA BITHAA ZA PEMBE ZA NDOVU

Serikali imekataza kutokutumia bidhaa za ndovu ilikuzuia ujangili akiongea hayo waziri ya mali asili na utarii alisema wafanyabiashara waangalie hilo

Monday, March 17, 2014

POLISI 4 WATIMULIWA KAZI KWA WIZI

Polisi 4 wa jiji la dar es salam wametimuliwa kazi kwa wizi imethibitishwa na Kamanda KOVA polisi hao ni: Rajabu mkwenda maarufu Ugoro mwingine ni SIMON, ALBERNUS NA SELEMAN

CHADEMA HOI KALENGA KURA 20% CCM 70%

Chadema imepiga mwereka wanguvu huku ccm ikisema kuwa hiyo ni rasharasha tu bado mvua kamili. Je wamejipanga vilivyo?

Saturday, March 15, 2014

MKE WA SLAA WAKWANZA MBALONI

Mke wa katibu mkuu wa chadema dr slaa amekamatwa na police jana majira ya saa 4:00 jioni huku tukifuatilia chanzo tutawajulisha kupitia page yetu

Friday, March 14, 2014

SITA ATAHUMUDU CHANGAMOTO ZA BUNGE LA KATIBA?

Mwenyekiti rasmi sasa ni Mh samwel Sitta je kwa maoni yako anaweza kuhumudu mikiki mikiki ya bunge hilo?

WAENDESHA BODABODA KAHAMA WAPEWA MAFUNZO YA UMUHIM WA TOHARA

Waendesha bodabod zaidi 300 wilayani kahama shy wapewa mafunzo juu ya umuhimu wa tohara ili kujikinga na ukimwa huku shy ndo ukiwa mkoa wenye maambukizi makubwa ya ukimwi

Wednesday, March 12, 2014

KWA HERI ARSENAL WENZAKO WANAFUATA

Jana Arsenal imeondolewa kwenye mashindano ya UEFA huku zikibaki timu 3 za ungeleza na zote zilifanya vibaya Je unafikiri kuna time itavuka hapo.

Tuesday, March 11, 2014

Shaffih Dauda in Sports.: MECHI YA STAND, KANEMBWA MEZANI TENA

Shaffih
Dauda in Sports.: MECHI YA STAND, KANEMBWA MEZANI TENA
:
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Tanzania (TFF) imeiagiza
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) ifanyie marejeo (review) uamuzi wa...

Monday, March 10, 2014

IKULU YA KANASHA RAIS JAKAYA KIKWETE KUMTEMBELEA MARANDA

Ikulu imekanusha rais kikwete kumtembelea maranda aliye fungwa jela kwa kosa la wizi wa fedha za EPA miaka 18 huku kukiwa na taarifa ya kuwa hakuenda pale kumtembelea maranda ila alienda kuona wagonjwa

Saturday, March 8, 2014

NDEGE YA MALAYSIA YA POTE NA WATU 239

Ndege ya shirika la ndege ya malaysia imepotea angani ikiwa na watu 239 kabla ya kufika KAULALUMPA haijajulikana kama wamekufa au vipi.

Friday, March 7, 2014

YANGA YAWATAHADHARISHA MASHABIKI KUTOKUSOMA BLOG YA BINI ZUBERY

Klabu ya yanga imewakataza mashabiki kusoma blog hiyo kwa sababu inaandika uongo na kutaka kuvuluga klabu ya yanga

JE KUTIMULIWA KIM POUSEN KUTABADILISHA TIME YA TAIFA?

Naiji maoni yenu wadau wasoka kuhusu hili na haya maamuzi Ya TFF.

KARIBUNI KWA MATANGAZO YA BIASHARA

Karibu na tangaza biashara yako hapa ufaidiki

VULUGU BUNGE LA KATIBA

Vulugu zilizuka jana baada ya wabunge kutaka kuzipiga wakidai kutokupewa nafasi kuchangia hoja hukuwakipewa wabunge watatu bunge nzima

Wednesday, March 5, 2014

CHADEMA YA TAFUTA MGOMBEA UBUNGE CHALINZE

Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimesema kipo katika mchakato wa kutafuta nani atagombea ubunge jimbo la chalinze. Toka jana fomu zimeanza kutoka. Huku CCM tayari kula zimesha pigwa na liziwan kikwete kashinda kula hizo.By hamisi

BUNGE LA KATIBA MPYA SASA RAFURAHIA

Bunge la katiba la ruhusiwa kutumia hati ya muungano kama kilelezo cha hoja ndani ya bunge kwa maoni ya wabunge nimeongea nao wamefurahishwa na jambo hilo kwani litasaidia kuongea jambo wanalijua

MAMBO YA MUUNGANO HABARI LEO

Hati ya Muungano kutumika katika Bunge Maalum

Tuesday, March 4, 2014

DUNIA IMEKWISHA BAADA YA KULEWA

Watu wawili wamechapwa viboko hadharani na walevi wenzao baada ya kulewa na kuanza kufanya mapenzi hadharani ikawa ni taflani kubwa bar hapo imetokea Ushirombo wilaya ya kahama By Hamisi Omari